By Mkikuyu Mjaka
Msanii wa kike kutoka Tanzania , Nandy ,ambaye ana ushawishi mkubwa katika ulingo wa sanaa Africa mashariki hivi majuzi alikuwa Kisumu kwa minajili ya tamasha ambapo wadau na mashabiki wake walimpokea kama malkia.Hivi ni dhahiri kuwa Nandy ni mojawapo wa wasanii wanaoheshimika sana Kenya .
TAZAMA VIDEO HIYO YA MAPOKEZI HAPA.
No comments:
Post a Comment