Jaguar-Starehe MP |
By Salim Juma
Habari zinazotufikia ni kwamba Mbunge wa Starehe Charles Njagua maarufu kama Jaguar amekamatwa na idara ya upelelezi ya DCI nchini Kenya saa chache baada ya kuhudhuria kikao cha bunge.
Hii inafuatia matamshi ya uchochezi kutoka kwa Mweshimiwa Jaguar Jana akihutubia wakaazi wa Kamkunji Market. Jaguar kwa maneno yake alichochea wafanyibiashara kutoka uchina,Pakistani na nchi zingine wafurushwe kutoka kwa maduka yao.
Lang' Katalang' (rapper mchanganuzi) |
Punde baada ya Jaguar kutoa matamshi Yale rapper Lang' Katalang' naye alimkashifu kwa kumwambia kuwa foreign investors ni muhimu kwa ajira ya vijana na wala asitumie jambo hilo kisiasa.
Bonyeza star ilinasa screenshots za Katalang'
No comments:
Post a Comment