By Mkikuyu Mjaka
Habari zinazotufikia sasa hivi ni kwamba mtangazaji hodari wa redio
Anthony Tambala amejiunga na Tv maarufu ya Ebru.
Tambala ambaye pia aanatambulika kwa jina Producer Tony Touch
atakuwa anaendesha program ya burudani katika Tv hiyo.
Anthony Tambala hapo awali amefanya kazi na redio mbalimbali
nchini Kenya ikiwemo Radio Milambo ya Migori,Radio sahara Kisumu ,Raduio Furaha
Meru na pia meneja wa broadcasting katika Mwariama House Broadcast.
Anthony vilevile ameweza kufanya kazi V.O.A kama producer.
Tunamtakia kila la heri akijiandaa kuanza shuguli zake za
kiburudani katika Tv hiyo.
No comments:
Post a Comment